chadematv

View:

CHADEMA yawasilisha maoni ya wananchi tume ya katiba

4 г. назад

Dr Slaa ashangazwa na utaratibu mbovu wa tume ya jaji Warioba katika kupokea maoni . asema Tume haijajipanga.

CHADEMA: Tutaunda Makambi ya Vijana kujilinda na Vipigo

5 г. назад

M/Kiti wa CHADEMA Taifa Mh. Freeman Mbowe akizungumza na Waandishi wa Habari leo July 9, 2013 ambapo alitoa maazimio mbalimbali ya Kamati Kuu ya CHADEMA iliyofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl...

aliyekuwa mwenyekiti jimbo la Nchemba arudi Chadema

5 г. назад

NIMERUDI CHADEMA BAADA YA KUONA CCM WADANGANYIFU.

CHADEMA na Utetezi wa Rasilimali za Watanzania

4 г. назад

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ni Chama ambacho kimejengwa katika Msingi wa Kutetea Rasilimali za Watanzania tangu kuasisiwa kwake. Hoja ya Mkataba Mbovu wa Buzwagi ilichangia sana...

Zitto: Mshahara wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ni takribani Milioni 26 kwa mwezi

4 г. назад

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. Zitto Kabwe amesema mishahara ya wafanyakazi wa Serikali haipaswi kuwa siri kwani inatokana na kodi za Wananchi. Zitto amesema Wananchi wanapaswa kujua hadi...

Zitto: Mshahara wa Rais ni Milioni 32 kwa mwezi na haukatwi kodi

4 г. назад

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh.Zitto Kabwe amefichua siri ya mshahara wa Rais wa Tanzania ambapo amesema Rais analipwa jumla ya Tsh Milioni 384 kwa mwaka sawa na Milioni 32 kwa mwezi. Mshahara...

Naibu Waziri Stephen Maselle na Mchange walipanga kuilipua Helkopta ya CHADEMA ili kumuua Slaa.

3 г. назад

Mpango wa Usaliti na Kukihujumu Chama uliokuwa unapangwa na Viongozi wa Waandamizi wa CCM na ACT Tanzania umefichuliwa. Hakuna siri tena. Fuatilia Video hii.

Zitto: Watu wa Mtwara wamejifunza kwa yaliyowakuta watu wa Kanda ya Ziwa

5 г. назад

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. Zitto Kabwe amesema wanachotaka kujua watu wa Mtwara ni mustakabali wao na sio kitu kingine. Zitto amesema madini ya Nzega yameisha na Nzega imebaki vilevile...

CHADEMA: Mlipuaji wa Bomu la Arusha ni Polisi, Hatukubali mauaji ya aina hii tena

5 г. назад

Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA akizungumza na Waandishi wa Habari leo tarehe 18/06/2013 Makao Makuu ya CHADEMA amesema CHADEMA inao ushahidi wa video kuwa aliyelipua bomu kwenye...

CHADEMA: Tutawapa Polisi Mkanda japokuwa wana nia mbaya

5 г. назад

Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA Mh. John Mnyika amesema watatoa Mkanda wa ulipuaji wa bomu la Arusha kwa Polisi baada ya kupata ushauri wa kisheria hasa baada ya Polisi kuonyesha nia mbaya.

Lema Afunika nyumbani kwa Sumari

6 г. назад

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema jana alikuwa kivutio kikubwa kwa wakazi wa Akeri alikozaliwa Mgombea wa CCM Sioi Sumari. Awali ilielezwa kuwa lema amepigwa marufuku na Wazee wa Kimila...

Mnyika: Tumefika hapa tulipo kwa Udhaifu wa Rais Kikwete

6 г. назад

Mh. John Mnyika akichangia hotuba ya bajeti ya Serikali ya mwaka 2012/2013 ambapo kutokana na uchangiaji wake Mh. Naibu Spika Job Ndugai alimtoa nje ya ukumbi wa Bunge kutokana na kile kinachodaiwa...

Hawa ndio Magaidi wa Tanzania

5 г. назад

Mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Wakili Mashuhuri Mh. Mabere Marando akizungumza na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya CHADEMA jijini Dar es Salaam...

MwanaCCM amkosoa Mwigulu kuihusisha CHADEMA na tindikali

6 г. назад

Mwanachama wa CCM ajibu tuhuma za Mweka Hazina wa CCM Taifa, Mwigulu Nchemba Nzunge na kuelezea nani hasa anahusika na shambulio hilo.

Aliyoyasema Nassar na Filikunjombe katika Tamasha la Wasanii Mjini Kigoma

5 г. назад

Hotuba aliyoitoa Mh. Joshua Nassar na Deo Filikunjombe katika Tamasha la Wasanii Mjini Kigoma hivi karibuni imeibua mjadala mkubwa kuhusiana na nafasi ya Urais na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema...